Psalms 106:19-21


19 aHuko Horebu walitengeneza ndama,
na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma.

20 bWaliubadilisha Utukufu wao
kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.

21 cWalimsahau Mungu aliyewaokoa,
aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri,
Copyright information for SwhKC